John 20:31

31 aLakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Isa ndiye Al-Masihi,
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.
Copyright information for SwhKC